USHINDI WA LISU

Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 84% ya kura zote.

0 Comments

CURRENCY CONVERTER

FreeCurrencyRates.com