DAWA YA KUONDOA KABISA CHUNUSI KWA SIKU TATU HADI TANO
Na manase isaack
|
KABLA YA KUTUMIA |
|
BAADA YA SIKU TATU |
Mpenzi msomaji wa MANASE BLOG karibu katika wasaa huu wa Elimu ya Afya Hususani afya ya ngozi ndio tutazungumzia leo hii
Katika ulimwenguu huu wa hauna mtu asiye penda kuonekana nadhifu na smart. Hivyo kuna baadhi ya viyu humnyima raha mtu hata akipendeza kiasi gani vitu hivyo ni pamoja na CHUNUSI, VIPELE, MAKOVU, MABAKAMABAKA N.K
HIVYO LEO TUTATIZAMIA JUU Y A KUONDOA CHUNUSI KATIKA MWILI WAKO HUSUSANI USONI
Chunusi ni jamii ya vipele vinavyo kuwa sugu katika ngozi ya mtu hususani usoni, mgongoni na hata katika makalio pia chunusi hutokea au hoata.
SABABU ZA KUOTA CHUNUSI
Mpenzi msomaji ili kujua jinsi ya kuzuia na kuondoa chunusi kwanza tutizamie sababu zinazopelekea chunusi katika ngozi au nyuso za binadamu
1. Kwanza BAREHE vijana wengi wapofika umri wa kubarehe na kuvunja ungo huota chunisi usoni, hii ni mabadiliko ya mwili ndio sababu kubwa, yaani toka utoo kwenda ujana. Mara nyingi chinusi zinazo sababishwa na BAREHE hukaa kwa muda Fulani na kupotea zenyewe.
2. MATUMIZI YA MAFUTA AU VIPODOZI VISIVYO ENDANA NA NGOZI YAKO, mara nyingi utasikia watu wakisema kuwa mafuta yale yalihalibu sijui haya hayanipendi, na kujikuta wanaishia kuchanganya vipodozi na kuharibu ngozi zetu za asili.
3. VYAKULA VYENYE MAFUTA/PROTIN KWA WINGI KAMA KARANGA MBICHI, chunusi huwa ni mafuta yaliovilia katika ngozi yaani vijitundu vya ngozi hujifunga na kufanya mkusanyiko wa mafuta hivyo chunusi kutokea.
4. KUTOSAFISHA USO MARA KWA MARA, Chunusi ni mafuta katika ngozi hivyo yatupasa kusafisha nyuso mara kwa mara angalau mara 2 au 3 kwa siku yaani ukiamka na kabla ya kulala. Hii itasaidia ngozi yako kuacha vijitundu kupumua kwa urahisi na visizibe.
JINSI YA KUZUI CHUNUSI KWA MBINU ASILIA
Tumekwisha kuona sababu za chunusi hivyo sasa tuangazie jinsi na naamna ya kuzuia chunusi,
VIFAA UNAVYO TAKIWA KUWA NAVYO
1. NDIMU/ LIMAO HALISI (fresh)
2. KITAMBAA KISAFI NA LAINI
3. MVUKE WA MAJI YA MOTO (Maji ya moto)
4. BESENI DOGO/ DISHI
5. TAULO KUBLA KIASI
UKIWA NA VITU HIVYO FUATA HATUA HIZI KWA SIKU TATU MFULILIZO
HATUA YA KWANZA, Chemsha maji, kasha weka katika beseni hakikisha yana toa mvuke wa kutosha, kwani sababu kuu ya kuchemsha maji ni kupata mvuke.
HATUA YA PILI, hapa unahitaji kujifukisha huo mvuke sehemu yenye chunusi kama ni usoni fanya kuinamia beseni lako lenye maji ya moto karibu na maji lakini usiweke uso katika maji, kasha jifunike taulo lako yaaani mvuke usitoke nje ya uso. KUMBUKA INAMA UKIWA HUVUTI HEWA FANYA KWA SEKUNDE KADHAA KISHA INUKA UPATE HEWA KISHA INAMIA TENA MPAKA DAKI 5 HADI 10.
HATUA YA TATU, Baada ya kufanya hatua ya pili sasa jifute vizuri na taulo kwani kutakua na jasho hapo, sasa chuku limao/ ndimu kamua katika chimbo kisafi na tumia kitambaa laini kupaka. Usisugue ila paka tu taratibu
SASA KAA KWA DAKIKA 10 HADI 15 KISHA OSHA USO WAKO VIZURI KWAA MAJI SAFI,,,,,,,,,PAKAA MAFUATA YANAYOENDANA NA NGOZI YAKO,,,, muhimu kujua aina ya ngozi yako na usinunue mafuta kabla hujasoma nje yana faa kwa aina gaini ya ngozi….>>>> mfano utakuata nje ya kopo wameandika for dry skin, for oil skin, for normal skin nk..
MFANO KAMA NGOZI YAKO NI YA MAFUTA(OIL SKIN) NI ZIZURI UKATUMIA LEMON OILS mafuta yenye asili ya limao
KUMBUKA: NJIA HII INAFAA KWA WENYE NGOZI ZENYE MAFUTA ILA KAMA NGOZI YAKO NI DRY USITUMIE HATUA YA MVUKE WEWE PAKAA TU LIMAO/ NDIMU
PIA TUNAUZA MAFUTA MAZURI YANAYO ENDANA NA NGOZI YAKO
1. KUONDOA RANGI NYEUSI KWAPANI NA MICHILIZI
2. KUONDOA CHUNUSI KATIKA NGOZI KABISA
3. KUONDOA MICHILIZI KATIKA NGOZI KAMA MAPAJANI
4. KUONDOA HARUFU MBAYA KWAPANI
5. AFTER SHAVE
6. KUONDOA MABAKA
7. MAPELE NA MAPUNYE
8. PATA PAFYUMU ZA UBORA
9. NA VIPODOZI
kumb.. bidhaa zote ni asilia na hazina kemikali
PIGA 0767 486362 NA UTAFIKISHIWA POPOTE HIDHAA ZETU
CALL 0767 486362 AND WE WILL REACH YOU ANYWHERE IN TZ
comments na share/ sambaza kwa marafiki kwa msaada zaidi
by manase
No comments:
Post a Comment